Breaking News from Popular Tanzanian Instagrammers

Time:

MillardAyo

 • Likes 330
 • Username millardayo
 • Caption Tayari Magazeti yote yapo kwenye millardayo.com toka alfajiri mtu wa nguvu!! Good morning
 • Likes 488
 • Username millardayo
 • Caption
 • Likes 9308
 • Username millardayo
 • Caption Popote ulipo nakualika kwenye AMPLIFAYA!! usisahau kuniachia na comment ya habari zako kubwa za leo mtu wa nguvu
 • Likes 3201
 • Username millardayo
 • Caption Kutana na Abdallah Nyangalio, alipata upofu uliosababisha macho yake yote kutoona mpaka leo, baadae akafundishwa Cherehani na sasa ni Mtaalamu wa kushona nguo _ Ameshawashonea nguo Watu mbalimbali maarufu wa Tanzania akiwemo Rais Mstaafu Jakaya Kikwete. _ Swali ni je anawezaje kupima mtu na kushona nguo mwanzo mwisho bila kusaidiwa na yeyote? video yake kamili itapatikana YouTube ya β€˜millardayo’
 • Likes 5242
 • Username millardayo
 • Caption #MillardAyoUPDATES
 • Likes 7524
 • Username millardayo
 • Caption #MillardAyoUPDATES

Mange

 • Likes 718
 • Username mangekimambi_
 • Caption Ahsanteni wote mnaodesign hizi banner...... πŸ™πŸΎ . . #TanzaniaRevolution
 • Likes 777
 • Username mangekimambi_
 • Caption Tangazo kwa vijana. . . Msishangae serikali ikapaniki na kutangaza nafasi za kazi kwa polisi na jeshi ili wapate watu zaidi wa kuzuia maandamani ya Tarehe 26/4..... . Tunaomba mzikatae nafasi hizi. Hizi sio ajira hizi ni nafasi temporally za kuwatumia wananchi kuumiza wananchi wenzao... Mjue baada ya maandamano mtafukuzwa na mnaweza msilipwe chochote . . Hii ni tahadhari nimepewa na mtu wangu wa karibu kaniambia hakuna muda ambao jeshi la wananchi na jeshi la polisi wako under staffed kama kipindi hiki cha sasa. Kwa hiyo anaamini lazima wapaniki na waajiri watu haraka sana. Yani unaambiwa this is the perfect time kuandamana kwanza wanajeshi wengi wako very very unhappy na Rais sababu ya kulindwa na jeshi la Rwanda. Pia hakuna hela jeshini. Hajaajiri. Jeshi la polisi kafukuza kazi polisi wengi mnooo kwa vyeti feki and so forth. Yani kaniambia haya maaandamano kama kuna muda yana chance kubwa ya kufanikiwa ni sasa hivi sababu majeshi yote mawili hayajawahi kuwa na wafanyakazi wachache kama kipindi hiki.... Ila ndo hivyo anasema tahadhari ya kwanza Magufuli atakayochukua ni kuajiri askari na wanajeshi kwa ajili ya hiyo siku moja... . . Tafadhali watanzania tusigeukane.... Usithamani ajira ya mwezi mmoja juu ya ndugu zako..... .
 • Likes 733
 • Username mangekimambi_
 • Caption #Repost @kimoraleesimmons with @get_repost ・・・ Celebrating this #preseidentsday with this inspiring quote from this inspring man @BarackObama
 • Likes 1114
 • Username mangekimambi_
 • Caption Inabidi wananchi muijue serikali yenu, juzi mlipokuwa mnasema eti familia ya Akwilina ikatae Msaada wa serikali mnakumbuka niliwambiia na mtashangaaa mamake mzazi Akwilina ataongea na media kumshukuru Rais Magufuli??? Haya muoneni mwana familia kawaacha watanzania woooote waliomlilia na kumpazia sauti binti yao mpaka serikali imeona aibu akamshukuru aliewatuma askari wafyatue risasi iliyomuua binti yao... 😭😩 . . Inabidi wananchi mjue tunadili na viumbe wa aina gani sasa hivi.... Hawa watu sio binadamu wa kawaida. Hawana utu. Watakuulia mwanao na watakwambia lazma umshukuru Rais na Msaada lazma uupokeee.... . . Fanya kuswipe uone nilichoandika jama
 • Likes 834
 • Username mangekimambi_
 • Caption OMG oneni movement ya Congo mitaani wanawaelezea watu kwa nini Kabila anatakiwa kuondoka.... Tunahitaji awareness kama hii mitaani.... Amini msiamini. Hata Magufuli hana mpango wa kuachia madaraka.... #TanzaniaRevolution . Repost @vavatampa with @get_repost ・・・ Congo houses 50% of Africa's rivers and lakes yet people go 6 months without running water. Another reason #KabilaMustGo! Another reason you'd get involved -- if you aren't yet involved. #Congo #SavetheCongo! #Africa
 • Likes 2695
 • Username mangekimambi_
 • Caption Jamani hivi msifanye πŸ™ˆ

JamiiForums

 • Likes 2148
 • Username jamiiforums
 • Caption Mwenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa, Freeman Mbowe pamoja na viongozi wengine 6 wa chama hicho wameitwa rasmi Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum Dar kwa ajili ya kuhojiwa - Viongozi hao wanatuhumiwa kwa kufanya maandmano kinyume cha sheria kwa mujibu wa barua hiyo ya wito kutoka kwa Jeshi la Polisi. - Viongozi wengine 6 walioitwa ni; - Dkt Mashinji(Katibu Mkuu wa CHADEMA) John J. Mnyika(Mbunge na Naibu Katibu Mkuu Bara) Salum Mwalim(Naibu Katibu Mkuu ZNZ) Halima Mdee(Mbunge na M/Kiti wa BAWACHA) John Heche(Mbunge) Ester N. Matiko(Mhazini wa BAWACHA)
 • Likes 1785
 • Username jamiiforums
 • Caption Ripoti ya wanasaikolojia imebaini kuwa matumizi makubwa ya mitandao ya kijamii husababisha watu kuwaza maisha ya wengine, kupata wivu na kujihisi wapweke - Je, unahisi mitandao ya kijamii imekuletea athari zozote katika maisha yako?
 • Likes 1069
 • Username jamiiforums
 • Caption IKULU, DAR: Rais Magufuli amemteua Prof. Maboko kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Sayansi na Teknolojia(COSTECH) - Uteuzi wa Prof. Maboko ambaye ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) unaanza rasmi leo.Haya
 • Likes 739
 • Username jamiiforums
 • Caption AFRIKA KUSINI: Rais wa tano wa nchi hiyo, Cyril Ramaphosa amesema kamwe hataruhusu biashara na utajiri wake kuwa sehemu ya nafasi ya uongozi wake. - Akizungumza na wakurugenzi wa kampuni anazomiliki, jijini Cape Town, Rais Ramaphosa amesema ana jukumu kubwa kuwatumikia wananchi na hafikirii tena biashara ambazo tayari alishakabidhi uendeshaji wake kwa watu anaowaamini watazisimamia - Kiongozi huyo, akiwa miongoni mwa matajiri wa Afrika, anayetajwa kuwa na utajiri unaofikia Dola za Marekani Milioni 450, amedai hataki kutumia muda wa wananchi kufuatilia biashara zake. - Alijiuzulu nafasi ya kuwa mtendaji mkuu wa kampuni zake nyingi baada ya kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais Jacob Zuma Mei mwaka 2014. - Sheria za Afrika Kusini zinawataka viongozi wakuu kuacha utendaji katika biashara binafsi mara wakiteuliwa au kuchaguliwa kushika dhamana za umma.
 • Likes 3879
 • Username jamiiforums
 • Caption DAR: Ndugu wa Aquilina Akwilini, aliyefariki kwa kupigwa risasi wakati Polisi wakidhibiti maandamano ya CHADEMA wamekubali kuuchukua mwili wa binti yao baada ya kugoma kwa saa kadhaa - Ndugu hao waligoma kuchukua mwili wa binti huyo kwaajili ya mazishi baada ya kuambiwa ripoti ya uchunguzi ungechukua siku 14 na kutoelezwa sababu zilizosababisha kifo chake. - Hapo awali Ndugu wa marehemu walikusanyika Hospitali ya Taifa Muhimbili katika eneo la chumba cha kuhifadhia maiti, wakisubiri uchunguzi ukamilike ili kujua hatima ya mwili huo kisha wausafirisha kwa ajili ya mazishi Wilayani Rombo, Kilimanjaro.
 • Likes 3495
 • Username jamiiforums
 • Caption UBELGIJI: Tundu Lissu amesema Uchaguzi wa Kinondoni na Siha, ulikuwa na dalili za vita vya utashi kati ya Wananchi na Serikali - Akizungumza na JamiiForums kutoka Jijini Brussels amesema mchakato na matokeo ya uchaguzi yameonesha jinsi Serikali inavyotumiwa vibaya na Chaa Cha Mapinduzi - Lissu ameilaumu Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) kwa kushindwa kusimamia vyema uchaguzi huo na kudai kuwa imekuwa ikisikiliza na kutenda kulingana na matakwa ya CCM. - Akaongeza kuwa uchaguzi huo uligeuka kuwa vita, ndiyo maana matokeo yake hayakukubalika na watu wenye dhamana ya kulinda usalama wa wapigakura na wananchi, walitumia silaha za moto kuwatisha. - Lissu yuko nchini Ubelgiji kwa matibabu baada ya Septemba 7 mwaka jana kushambuliwa na watu wasiojulikana akiwa Mjini Dodoma na kupigwa risasi 38 akiwa nje ya nyumba yake, huku risasi 8 zikiingia mwilini mwake na kuvunja mifupa na kuharibu nyama za mwili.

Shaffih Dauda

 • Likes 4282
 • Username shaffih
 • Caption Manchester City watupwa nje Fa Cup.
 • Likes 3792
 • Username shaffih
 • Caption FA Cup Wigan 0-0 Manchester City *62'
 • Likes 6393
 • Username shaffih
 • Caption Lionel Messi vs Chelsea: : 🏟 8 games πŸ‘Ÿ 29 shots ⏰ 655 dakika ⚽️ 0 goals : Hii ndio rekodi yake mbaya dhidi ya timu moja barani ulaya - kesho ana nafasi nyingine ya kuuvunja mwiko wa kutoifunga Chelsea, atafanikiwa? Tukutane Darajani!
 • Likes 6324
 • Username shaffih
 • Caption Golikipa wa Simba, Aishi Manula, ameteguka mkono akiwa mazoezini wakati timu yake ikijiandaa kuikabili timu ya Gendermarie National Ya Djibouti. : Kesho Simba wanaingia dimbani kutetea ushindi wao wa 4-0 waliopata nyumbani katika mchezo wa kwanza.
 • Likes 7760
 • Username shaffih
 • Caption Tangu mwaka 2005 mpaka sasa, Chelsea na FC Barcelona zimekutana mara 4 katika hatua ya mtoano ya UEFA Champions League 2005: Chelsea βœ… 2006: Barcelona βœ… 2009: Barcelona βœ… 2012: Chelsea βœ… : - Barca walivuka mara mbili, mara 1 walienda kuchukua ubingwa, mwaka - 2009. - Chelsea walivuka mara 2, mara mbili zote wakaenda kuchukua ubingwa - 2006 vs Arsenal, na 2009 vs United : 2018 wanakutana tena kwenye hatua ya mtoano - nani atafuzu kuendelea???
 • Likes 2881
 • Username shaffih
 • Caption Mpira umekwisha mechi mbili za leo ambapo Mtibwa Sugar imeangukia pua kwa kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Ruvu Shooting katika dimba la Manungu wakati Tanzania Prisons ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mwadui FC katika dimba la Sokoine jijini Mbeya. . Kwa matokeo haya, una maoni gani juu ya mwenendo wa Mtibwa Sugar ambayo hadi sasa imepoteza mechi tatu kati ya mechi nne mfululizo huku ikiambulia pointi moja pekee kati ya pointi 12?

Udakutz

 • Likes 1228
 • Username udakutz_
 • Caption @Ommydimpoz ampiga Madongo @officialalikiba kisa Muonekano Mpyaaa 😁😁😁 TOA MAONI YAKO HAPA.
 • Likes 843
 • Username udakutz_
 • Caption Hivi Ndivyo @juma_jux Alivyoimbiwa wimbo wa Taifa Nchini Burundi Kama Heshima.... Hii Ni Heshima ambayo hakuna Msanii yeyote kutoka Africa na Nje ya Africa amewahi Kuimbiwa... Hivyo Ni Historia. πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 • Likes 1693
 • Username udakutz_
 • Caption ***ASANTE MUNGU
 • Likes 359
 • Username udakutz_
 • Caption 20% discount ....20%discount....ni ritha decor pekee utapata punguzo la bei.. Kwa kazi zote January mpaka march 2018,,,Fanya booking mapema 0717301681/0753960601 follow : @ritha decor @rithadecor @rithadecor @rithadecor
 • Likes 711
 • Username udakutz_
 • Caption Imekuwa ni kawaida kwa mastaa mbalimbali Duniani kupenda kubadili mionenakano yao, inawezekana ukawa ni muonekano wa style za mavazi au wakati mwingine inaweza ikawa style za nywele ili tu kuwa tofauti. Kuna mitindo ya nywele kwa baadhi ya mastaa inayo-trendΒ  ambapo kwa sasa kila mtu anakuja na mtindo wake mwenyewe ili kuleta upekee wa muonekano wake kama ilivyo kwa Ben Pol alikuja na mtindo wa rangi ya nywele za kijani kibichi na imempa dili kibao kutokana na mtindo huo wa rangi. Staa wa Bongofleva Ali Kiba leo nae ameonekana akiwa miongoni mwa mastaa wa Bongo waliokuja na style mpya wa nywele ambapo ameamua kuweka rangi ya kwenye nywele zake na kuubadili muonekano wake kichwani tofauti na tulivyomzoea. TOA MAONI YAKO HAPA.
 • Likes 900
 • Username udakutz_
 • Caption Muonekano Mpyaaa Wa @OmmyDimpoz πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Wema Sepetu